Haya sasa hatimaye ile Siku ya kumtafuta miss Magogoni 2017/18 inakaribia kama picha inavyo elezea hapo juu ni tarehe 9 ya mwezi wa nne mahali ni pale pale wanapokutana wajanja wa mjini @maisha_basement Dar @maishaclubtz wasanii watakao Fanya usiku wako kua na furaha ni @youngdaresalama #pakarapa baada ya kupata furaha utapata #arosto kutoka kwa @chinbees pia @dullamakabila atakuuliza kama #umeulamba.pia special appearance by @rossendauka
Tiketi zinapatikana
@yahayabotique na @dsmtapsso chuoni no:66 Unaanzaje kukosa kwa mfano.

