MAGOGONI MAGAZINE

MAGOGONI MAGAZINE

MAGAZINE PAGE YA MBELE(FRONT PAGE)
Tarehe 16 ya mwezi 3 mwaka huu TAPSSO wanarudi tena kwenye Headline baada ya kuzindua Rasmi gazeti la wanafunzi wa chuo cha magogoni linalofahaamika kama MAGOGONI MAGAZINE
kwa kuhakikisha habari zinawafikia wanafunzi wote na kwa kulitazama hilo Serikali ya wanafunzi TAPSSO imekusogezea habari zote za wiki ndani ya gazeti la chuo.
MWONEKANO WA NDANI WA MAGOGONI MAGAZINE
Ndani ya gazeti hili litajazwa habari za moja kwa moja zinazohusu wanafunzi kwa mfano wanafunzi wenye majina makubwa wanafunzi wenye followers wengi na pia walimu. Huku likiendelea kusisitiza wanafunzi kujituma kwenye masomo ili waweze kupata ujuzi wao. Wizara ya Habari na Mawasiliano Inatarajia kuendelea na kampeni zake za kuhakikisha wanafunzi wote wanafikiwa kiurahisi na mwisho. Kwa niaba ya Mh. Raisi wa Serikali ya wanafunzi wa chuo cha Utumishi wa Umma Wizara ya habari inaomba kukulibisha kwenye Mbao za matangazo ili kuweza kupata kulisoma Magazine hii.
MKUTANO WA WABUNGE (MATUKIO KATIKA PICHA)

MKUTANO WA WABUNGE (MATUKIO KATIKA PICHA)

Mwenyekiti wa kamati ya muda ya kumtafuta Spika ya Bunge la wanafunzi chuo cha utumishi wa umma
akitambulishwa baada ya bunge kumchagua kusimamia kazi hiyo
\
Mh:Waziri mkuu wa serikali ya chuo cha utumishi wa umma Mh. Fransic Akitoa mada juu ya kuwapata washindi wa nafasi za \Spika na Naibu spika
Nakusogezea picha ya wagombea wa kiti cha uspika wa bunge na Naibu spika
Mbunge toka Idara ya IT
Mh:waziri wa elimu(TAPPSO) akifuatilia kwa umakini kikao.