WELCOME 1ST YEAR  BASH

WELCOME 1ST YEAR BASH

Karibu tutengeneze #HISTORIA nyingine baada ya Miss Magogoni kupita sasa tuungane kwa pamoja kuwakaribisha wanafunzi wenzetu walioanza masomo mwezi huu. Ndani ya MAISHA BASEMENT CLUB kwa pamoja tutaweza kucheza kwa pamoja,kufahamiana kwa pamoja lakini
pia kutazama bonge la Burudani kwa pamoja na mwisho kutazama#BIGSUPRISE kutoka ndani
#BIGARTIST wa BONGO FLEVA
TICKET ZINAPATIKA : TAPSSO ROOM 66
KWA MAWASILIANO : 0717425151 Or 0716297346
MISS MAGOGONI 2017

MISS MAGOGONI 2017

Haya sasa hatimaye ile Siku  ya kumtafuta miss Magogoni 2017/18 inakaribia kama picha inavyo elezea hapo juu ni tarehe 9 ya mwezi wa nne mahali ni pale pale wanapokutana wajanja wa mjini @maisha_basement  Dar @maishaclubtz wasanii watakao Fanya usiku wako kua na furaha ni @youngdaresalama #pakarapa baada ya kupata furaha utapata #arosto kutoka kwa @chinbees pia @dullamakabila atakuuliza kama #umeulamba.pia  special appearance by @rossendauka 
Tiketi zinapatikana 
@yahayabotique na @dsmtapsso chuoni no:66  Unaanzaje kukosa kwa mfano.